Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
We acha tu! CHADEMA kuna mambo. Nchi hatuwapi ng´o. wasahau.Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni utoto.
Nliwahi kuwaaambia chama chenu hakijafikia hata robo ya weledi ya ile NCCR Mageuzi ya wakati ule.
Subirini Lissu aje na majibu tena