Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Muziki mzuri, ila sina uhakika kama hawa ni music celebs.
Ukiangalia kwa umakini kwenye muda kati 0.19 na 0.20 utaona kitu kirefu kidogo mithili ya slim cylinder/ cord kimetokeza kwenye bottom ya huyo female music celeb. Je, hiyo ni nini? Je, huko ni kuwa producer kakosa umakini?