comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Alikuwa karani na mtoza ushuru wakati wa Ukoloni. Akanunua Lori akawa anasafirisha vifaa vya ujenzi. TANU ilipoanzishwa John Rupia akawa muweka hazina wa kwanza. Alisema”TANU haikuwa na Pesa, hazina ilikuwa ni mifuko yetu”.Uzalendo ulimfanya atumie Pesa yake binafsi kwa ajili ya TANU.