Alikuwa karani na mtoza ushuru wakati wa Ukoloni. Akanunua Lori akawa anasafirisha vifaa vya ujenzi. TANU ilipoanzishwa John Rupia akawa muweka hazina wa kwanza. Alisema”TANU haikuwa na Pesa, hazina ilikuwa ni mifuko yetu”.Uzalendo ulimfanya atumie Pesa yake binafsi kwa ajili ya TANU.
alikua anatoza ushuru? sasa si ndio hizo hizo amabazo alikuja kuwasaidia tanu,? maana siku zote watoza ushuru wana hela ambazo wanalazimisha watu kutoa au kulipa kodi, haina tofauti na utozwaji kodi wa leo