B Balozi Kenya New Member Joined Jan 8, 2018 Posts 3 Reaction score 4 Jan 8, 2018 #1 kutoka Nairobi Kenya,balozi apa ametua kwenye JF,nimetembea sana Africa mashariki,kwa kweli tz si nchi tu bali jamii ya watu wazuri zaidi,inshallah nitarejea kusaka mshikaji.double salute
kutoka Nairobi Kenya,balozi apa ametua kwenye JF,nimetembea sana Africa mashariki,kwa kweli tz si nchi tu bali jamii ya watu wazuri zaidi,inshallah nitarejea kusaka mshikaji.double salute
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 10, 2018 #2 Karibu sana JF.......