sindesunde JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 358 Reaction score 348 Jun 1, 2020 #1 Jamani eeh... Naomba mnisaidie kuwakumbusha wale wanawake wanaovaa cheni miguuni..kuwa BIASHARA YA UTUMWA (SLAVE TRADE)..ilishaishaga..kwa hiyo wasiendelee kutukumbusha kumbusha.. #Yaani unatumia chumvi nyingi alafu unapata kisukari
Jamani eeh... Naomba mnisaidie kuwakumbusha wale wanawake wanaovaa cheni miguuni..kuwa BIASHARA YA UTUMWA (SLAVE TRADE)..ilishaishaga..kwa hiyo wasiendelee kutukumbusha kumbusha.. #Yaani unatumia chumvi nyingi alafu unapata kisukari
slimdaddy 1993 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 212 Reaction score 138 Jun 1, 2020 #2 usije mjini