Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,306 Mar 31, 2010 #1 Heri mimi sijasema!
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Mar 31, 2010 #2 Enzi za Mkapa 1998 Mwaka mmoja kabla Nyerere Hajafa... ....Illovo acquires a 55% stake in Kilombero Sugar Company Limited in Tanzania; 😡😡😡
Enzi za Mkapa 1998 Mwaka mmoja kabla Nyerere Hajafa... ....Illovo acquires a 55% stake in Kilombero Sugar Company Limited in Tanzania; 😡😡😡
Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,306 Mar 31, 2010 Thread starter #3 Hapo zamani za kale, maamuzi 'madogomadogo' kama vile kuagiza sukari yalikuwa yanaidhinishwa na watawala wa Tanzania. Hao Illovo 'udaku' unadai walikuwa third choice, baada ya kambi mbili 'nzito' kila moja kuwa na kampuni iliyopenda, hivyo kuamua 'tukose wote'.
Hapo zamani za kale, maamuzi 'madogomadogo' kama vile kuagiza sukari yalikuwa yanaidhinishwa na watawala wa Tanzania. Hao Illovo 'udaku' unadai walikuwa third choice, baada ya kambi mbili 'nzito' kila moja kuwa na kampuni iliyopenda, hivyo kuamua 'tukose wote'.