Happiness...

We work so hard to make those around us happy but we forget that we deserve to be happy too... I watched this philosopy documentary and it says "The world is surrounded by the force of attraction. When you're happy you attract all elements of happiness; amazing family, great income, great friends n etc and vice versa for those who are often sad!". So LETS STOP COMPLAINING, FORCING LOVE, AND MAKING EXCUSES FOR OUR LACK OF HAPPINESS! because either way we create our own destiny!
 

if u truely loved some1 sio rahisi kuanza mbele kirahisi hivyo, n sometimes it might takes u years to realise hapo ulipo sipo unapopendwa.., the world is full of liers n cheaters ,unaweza amini mtu anakupenda akaja kukudisappoint ukashangaaa
back to happiness.., i like to be happy n i will do anything for my happiness ingawa saa nyingine it cost my happiness to be happy, to me happiness is accomplishing my goals,targets n plans in life n of coz seeing those who care about me are happy because of me!
 
As I go through all kinds of feelings and experiences in my journey through life -- delight, surprise, chagrin, dismay -- I hold this question as a guiding light: "What do I really need right now to be happy?" What I come to over and over again is that only qualities as vast and deep as love, connection and kindness will really make me happy in any sort of enduring way.
 
Mwisho wa maisha ni kui enyoy safari while unasafiri na sio kusubiri ufike ndo ufurahi...

Ukifika utashangaa khaaaaa.....mbona sio vile nilivyokuwa nafikiri....

Enjoy the ride......
R you enjoying your ride? lol
 
Mpendwa nailyne, wote tunabanana tunapopendwa na tunafanya kila mbinu tuwe na tuwapendao, ila kama hupendwi hupendwi tu hata uking'ang'ania, sasa utavumiliaje wakati hakupendi, unajua mpenzi/mume anaweza fanya mabaya lakini unajua kabis ni kwa bahati mbaya au sababu ya hulka ya mtu, lakini deep down kwenye moyo wake anakupenda na wewe unajua hlo, sasa akiwa hakupendi hata akifanya kosa wala hatajiuliza kukuomba msamaha, kukubembeleza.....kweli unaweza vumilia hili?
 

Gaga mwenzio mtihani wa kuvumilia nimeshafeli siku nyingi, nimeresit nimefeli tena sasa hivi nimepigwa ban kabisa kuresit...of coz hamna mtu anaweza kuvumilia milele but sometimes its good to give people second chance as u said kuna vitu vinatokea because we r human being,lakini tuwe na mipaka ya uvumilivu, sio tu unavumilia for sake of kuvumilia, ikifika mahala umefika ur limit unakubali yaishe, na maisha yanaendelea for ur happiness of coz...
 
ni kweli kabisa nailyne unavosema uvumilivu unamipaka, inafikia mahala unaanza kujiangalia na wewe pia
 
I like it amyner,thanks
 
Mwisho wa maisha ni kui enyoy safari while unasafiri na sio kusubiri ufike ndo ufurahi...

Ukifika utashangaa khaaaaa.....mbona sio vile nilivyokuwa nafikiri....

Enjoy the ride......
Tuna enjoy to the fullest, hivi the boss unawachukuliaje watu wanaovuka mipaka ili mradi tu wapate furaha, yaani wanaofanya lolote ili mradi wawe na amani na furaha?
 
gaga its time for us to be happy kabisa, kama tabu na shida tunapita kwa nini pia tusipate muda na kuwa na furaha?
 
tuna enjoy to the fullest, hivi the boss unawachukuliaje watu wanaovuka mipaka ili mradi tu wapate furaha, yaani wanaofanya lolote ili mradi wawe na amani na furaha?

hebu fafanua kuvuka mipaka..
Kwangu mimi mtu kuvuta drugs
au mwanaume kujaribi homo acts ni suicide
ambayo hata akijirudi ni doa kubwa..
But kwa mwanamke sijui kama kuna mipaka..anything goes naona..
 
hebu fafanua kuvuka mipaka..
Kwangu mimi mtu kuvuta drugs
au mwanaume kujaribi homo acts ni suicide
ambayo hata akijirudi ni doa kubwa..
But kwa mwanamke sijui kama kuna mipaka..anything goes naona..
Kuna watu wanaweza sema i'll do anything to make myself/ you happy, huoni kwamba wanaweza fanya lolote ilimradi wawe na furaha,wewe unawachukuliaje watu kama hawa
 
at least tafuta kitu kingine kinachoweza kukupa raha bana, wakati mwingine ukiwa na marafiki mnatoka out, mnaenda movie, shopping ,kula chakula ukipendacho bila bugudha
 
I like to be happy always but its impossible...
lakini 75% ya maisha yangu nina furaha
25% nina kosa furaha kutokana na uchovu,magonjwa, huzuni n.k
lakini bado percent ya furaha kwangu bado ni kubwa..
 
kajiswali kwako BB,ukiwa katika mahusiano na mkaingia kipindi ukahisi njemba haikupi happiness kama mwanzo ina maana utampotezea fasta fasta au relationship utaipa chance?
Inategemea bishanga kama hivi niko single sipotezi muda nikiona mtu ananizingua sababu muda bado ninao, lakini nikishafunga ndoa nitatafuta kitu cha kunipa furaha, nitakuwa na kidz furaha yangu yaweza kutoka out na wanangu,yaani furaha yao ndio starehe yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…