BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
- Thread starter
-
- #41
yah Manyanza hivi vingine huwezi vikwepa katika maishaI like to be happy always but its impossible...
lakini 75% ya maisha yangu nina furaha
25% nina kosa furaha kutokana na uchovu,magonjwa, huzuni n.k
lakini bado percent ya furaha kwangu bado ni kubwa..
kuna watu wanaweza sema i'll do anything to make myself/ you happy, huoni kwamba wanaweza fanya lolote ilimradi wawe na furaha,wewe unawachukuliaje watu kama hawa
kwa hiyo ule msemo wa kidhungu i'll do anything to make you happy ni kuzuga tu maisha yaende, au sio, na wale wanaotafuta happiness kama ulivosema pale juu nao tutawajaji vipi na akati kiukweli ndio raha yao?hilo neno anything sio zuri
binadamu lazima uwe na taboos na ethics...
Mimi nilisema lazima niwe rich,but legally....umenipata?
Ikishindikana legally,basi sio lazima
kwa hiyo ule msemo wa kidhungu i'll do anything to make you happy ni kuzuga tu maisha yaende, au sio, na wale wanaotafuta happiness kama ulivosema pale juu nao tutawajaji vipi na akati kiukweli ndio raha yao?
Thanks the boss kwa majibu mazuri, kuna watu wanajua kupromiss bwanahakuna kitu kama kama i will do anything to make you happy..
Ni msemo tu kama shairi...
What if furaha yangu ni wewe ufe?utajiua????
Watu wengi mwisho hujuta...binadamu bila taboo ni kama mnyama...
I will do anything for you kama hakitoki ndani ya principles zangu..
Af sipendi promise za uongo, naona baada ya kuwa happy nitakuwa sad, misemo mingine ibaki kwenye nyimbo tuThanks the boss kwa majibu mazuri, kuna watu wanajua kupromiss bwana
yaani eti i'll move the mountains for you khaaaaa
Huu tunaupenda sana kuusema wakati hatuwezi kuutimizahakuna kitu kama kama i will do anything to make you happy..
Ni msemo tu kama shairi...
What if furaha yangu ni wewe ufe?utajiua????
Watu wengi mwisho hujuta...binadamu bila taboo ni kama mnyama...
I will do anything for you kama hakitoki ndani ya principles zangu..
Wapendwa wa MMU mmefanya kitu gani mpaka sasa cha kuwafanya muwe wenye furaha muda wote????.... tafakari
Rudi bwana, mchango wako unahitajika, aint you happy?ngoja nitafakari aisee....dah
Thanks kwa wimbo, upo wewe umepotea sana
Thanks kwa wimbo, upo wewe umepotea sana
Weka basi mabusara mie mwenyewe nashangaa, ulikuwa wapi?Aisee hili sredi limenipitaje?
Aliyekuficha nampa pongezi, au na wewe una soulmate mpya?Nipo Mkuu Double B.
Wapendwa wa MMU mmefanya kitu gani mpaka sasa cha kuwafanya muwe wenye furaha muda wote????.... tafakari
Aliyekuficha nampa pongezi, au na wewe una soulmate mpya?
Yah tulizo, unasound kama happy people, unafanya nini kuhakikisha wapendwa wako wanakuwa na furaha siku zoteBlackBerry, ni post/ujumbe mzuri unaovutia kujibu.. Welldone!
Re:
Siri ya furaha..ni..
- Chukulia maisha kuwa ni kitu simple na wala usijaribu ku-complicate issues;
- Weka vigezo ambavyo unaweza kuviruka na wala usiweke vigezo kufuata upepo; mfano kama unatafuta partner weka kigezo cha 60% kwani hapa duniani kutokana na limitation zetu kama wanadamu hakuna partner wa hata 95%.
- Kaa kiti cha nyuma kabla hujakaribishwa kiti cha mbele kwani ni vizuri kukaribishwa mbele kuliko kufukuzwa kwenda nyuma..
- Jifunze machungu ni sehemu ya maisha hivyo hakuna haja ya kupanic yakikukuta..
- Last but not least.. As a human being, Nobody is perfect!