Happy 2nd anniversary my heartbeat!

Status
Not open for further replies.
Yeah... Kwakweli smart anajitambua najua hawezi anika mdada hata amkoseeje.. Sanasanaa atamrekebisha na yameisha... Habari za kuanikana I can say ni wasiojielewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli mahondaw wangu Kwa nini nikuanike, napata faida gani... aibu yako aibu yangu daima nitakusitiri...

Sina tabia hizo za kuanika... ukiniudhi nakufahamisha kimya kimya yanaisha...
 
Ila we jamaa kwa mashairi unaweza chukua top 3 list yote hapa jukwaani hahaa..(joking)

Hongereni sana...we wish you in the next two coming yrs muwe mmepanda madhabahuni


Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hongereni kwa kuendela kupenda na kushibana kihisia na kiakili kila siku. Nadhani kwasasa zawadi kuu ya upendo baina yenu mnayotakiwa kupeana ni kutoka stage hiyo mliyopo sasa na muanze kuitana na kuitwa mke na mume. It always feels lovely,safe and unbreakable when you have someone who understand you better by you side and love you with his/her wholeness.
Mnatupa picha kubwa sana na funzo kuwa mapenzi kama hayo yenu, kumbe yanapatikana katika ulimwengu wa leo. keep loving and enjoying one another to the fullest.
May you enjoy these beautiful songs please.
 

Attachments

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…