We yako lini[emoji16]Hongera sana jamanii! Mungu azidi kuwatunza tuu mamy! Mfikie malengo yenu dear!!
Jamani nani tugombane na sie tukuje na uzi wa anniversary!
Sijapata wa kugombana naye... Kila nikikuchokoza unachomoaWe yako lini[emoji16]
Acha kumtafutia banah,Ngoja nikutafutie wa kugombana
Hahahahaha... Humu wenye frog si unawajua tayari?? fanya mishe sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefurahiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unanisingiziaSijapata wa kugombana naye... Kila nikikuchokoza unachomoa
Unataka nikufwe singoAcha kumtafutia banah,
Saaaana jamaniiUmefurahiiiii
Wewe huyoooo...Mimi huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unanisingizia
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Tuanze kugombana basiUnataka nikufwe singo
Tuanzishe vagiWewe huyoooo...
Kwa nini hutaki tugombane tupendane halafu tulete anniversary humu?!
Ewaaaaa....[emoji16] [emoji16] [emoji16] Tuanze kugombana basi
Ndo nishaanzishaa...Tuanzishe vagi
Ndiyo maana wewe una kigimbi kama cha kagere [emoji23][emoji23]Ewaaaaa....
Ndo maana we mfupi
Kwahiyo unataka wawe na nyota ya Ruge Mutahaba (RIP)?Hongereni sana ...kwenye suala la ndoa mie nahis bado kidogo jamani..!kuleni kwanza bata😊