We unamchunguza nani?Chunguzaneni kwakweli..weakness zenu mzitambue ...na kama mtaweza zihimili fungen ndoa..kuna mambo unaweza hisi ni ya kawaida ila huwa yanakuja kutikisa sana ndoa..jua km mwenza wako anawajali hata kihisia not financialliy ndugu zako esp wazaz..ukiona yupo yupo tu..jua kuna shida..vimfano ni vingi..!
uWe unamchunguza nani?
🙂Kwahiyo unataka wawe na nyota ya Ruge Mutahaba (RIP)?
Khaaa....
Jamani jamaniiNdiyo maana wewe una kigimbi kama cha kagere [emoji23][emoji23]
Jibu vizuriKhaaa....
Nahofia atakufaidi kwenye ndoto au bafuni. Wivu wangu si unaujua?Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hilo la moyonii... Hebu mwambie venye niko na guu la kokakola mchepuko wangu
NdiwooJibu vizuri
Khaaa....
Najua una wivu mpaka kwa kaka zanguNahofia atakufaidi kwenye ndoto au bafuni. Wivu wangu si unaujua?
Wivu sina ila roho inauma[emoji23][emoji23][emoji23]najipanga hapa nikuanze mwnyew..napenda sana lifestyle yako..kukesha bar[emoji4][emoji6]
Siku hizi kuna bar kanisani?😂😂😂najipanga hapa nikuanze mwnyew..napenda sana lifestyle yako..kukesha bar😊😉
For the two of us, home isn't a place. It is a person. Forever is a long time, but I wouldn’t mind spending it by your side. mahondaw wangu...
I just want you to know, that when I picture myself happy, i picture it with you. A successful relationship requires falling in love many times, always with the same person. Our anniversary is just a momentary celebration, but our love is a timeless one.
I saw that you were perfect, and so I loved you. Then I saw that you were not perfect and I loved you even more.
Love you mahondaw wangu...
Yeah... hata baba yako sina imani naye kiviiileNajua una wivu mpaka kwa kaka zangu
Nirushie na mimi mistari basi
KhaaaaYeah... hata baba yako sina imani naye kiviiile
😉😉😉Wivu sina ila roho inauma
mahondaw anarafiki zake wana mizigo hiyo hatari kama alivyo mwenyewe...