Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This plant should be legalized it has several benefits
Yes rasta! The holy grass improves night vision too, mi nuh go lie! Useless dutty Babylon wan Jah pickney fi suffer, faya bwon di lucifer! [emoji23][emoji23][emoji23]This plant should be legalized it has several benefits
Reggae is life...bangi ni dawaHahaaa.. katika wakenya 10 basi 9 wameshawahi vuta bangi. Hii ni mpaka mademu. Nyie jamaa mnajifanyaga wajamaica sana. Hivi zile club zenu special kwa ajili ya Reggae bado zipo, uko naskia ni kuchoma mwanzo mwisho
Wewe jamaa buana, kumbe enzi zile ulifanyaga zako kwenye reggae night? Welcome back to Nairobi jombaa. Puff puff pass! 😀😀😀Hahaaa.. katika wakenya 10 basi 9 wameshawahi vuta bangi. Hii ni mpaka mademu. Nyie jamaa mnajifanyaga wajamaica sana. Hivi zile club zenu special kwa ajili ya Reggae bado zipo, uko naskia ni kuchoma mwanzo mwisho
Haha.. kuna boy mmoja kutoka Eldo ali choma kwa mara ya kwanza tukiwa form 1 akachizika aka leta noma kwa dorm mpaka wado akamshtukia akawa expelled!! Usikute ni wewe collo [emoji3]Reggae is life...bangi ni dawa
Si Mimi man sitoki eldy natoka kerichoHaha.. kuna boy mmoja kutoka Eldo ali choma kwa mara ya kwanza tukiwa form 1 akachizika aka leta noma kwa dorm mpaka wado akamshtukia akawa expelled!! Usikute ni wewe collo [emoji3]
Sikuwahi kwenda ila ma boys wa mtaa walikua wana nipa mastory!! kuna siku tuliplan kuhepa uko ikatokea risto ingine. Before sija kutana na manyang'au nilikua najua hip pop na rnb tuWewe jamaa buana, kumbe enzi zile ulifanyaga zako kwenye reggae night? Welcome back to Nairobi jombaa. Puff puff pass! 😀😀😀
Reggae is life...bangi ni dawa
Hahaha! 😀 Acha kelele cheki hiyo 'wisdom' hapo juu. [emoji23] Jamani mbavu zangu, sijui nairobae ameamuaje leo. [emoji23]Dah huu uzi huu, utavutia vichaa na comments za kiajabu.
Weed nlifanyiaga firm Fulani ya Washington research (online) wanaunda medicinal cannabis ...medicinal cannabis haiwezi kufanya ukue high juu TBH levels ni low na CBD levels ni high.... Medicinal cannabis pia hukua high breed ya sativa na indica ...nlilearn a lot from that research and conclusion nikua cannabis is beneficial if used correctly and not abused😀Parliament committee on health was seeking expert opinion on beneficial use of weed. Bado mswada unakarabatiwa.
Nani kajitolee hapa kama expert witness?
Kuna jamaa fulani. Marijuana activist 🙂 Alifika mbele ya kamati hiyo na kuwasilisha hoja yake, ya kuhalalishwa kwa mmea kwa karibia lisaa lizima! Alafu alikuwa sio jamaa hivi hivi, mtu na akili zake. Tena mtu na miraba yake miine. Alifika mbele ya kamati na faili karibia wheelbarrow nzima. [emoji23] Wabunge walisikiza hoja yake bila ya kumtizama sana machoni. [emoji23] Nikipata hiyo video ntaipost hapa.😀Parliament committee on health was seeking expert opinion on beneficial use of weed. Bado mswada unakarabatiwa.
Nani kajitolee hapa kama expert witness?