Happy 420 Kenyans

Hahaaa.. katika wakenya 10 basi 9 wameshawahi vuta bangi. Hii ni mpaka mademu. Nyie jamaa mnajifanyaga wajamaica sana. Hivi zile club zenu special kwa ajili ya Reggae bado zipo, uko naskia ni kuchoma mwanzo mwisho
Wewe jamaa buana, kumbe enzi zile ulifanyaga zako kwenye reggae night? Welcome back to Nairobi jombaa. Puff puff pass! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe jamaa buana, kumbe enzi zile ulifanyaga zako kwenye reggae night? Welcome back to Nairobi jombaa. Puff puff pass! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sikuwahi kwenda ila ma boys wa mtaa walikua wana nipa mastory!! kuna siku tuliplan kuhepa uko ikatokea risto ingine. Before sija kutana na manyang'au nilikua najua hip pop na rnb tu
 
πŸ˜€Parliament committee on health was seeking expert opinion on beneficial use of weed. Bado mswada unakarabatiwa.
Nani kajitolee hapa kama expert witness?
 
πŸ˜€Parliament committee on health was seeking expert opinion on beneficial use of weed. Bado mswada unakarabatiwa.
Nani kajitolee hapa kama expert witness?
Weed nlifanyiaga firm Fulani ya Washington research (online) wanaunda medicinal cannabis ...medicinal cannabis haiwezi kufanya ukue high juu TBH levels ni low na CBD levels ni high.... Medicinal cannabis pia hukua high breed ya sativa na indica ...nlilearn a lot from that research and conclusion nikua cannabis is beneficial if used correctly and not abused
 
The world is changing and more countries are legalizing it, Kenya should also follow suit.
 
πŸ˜€Parliament committee on health was seeking expert opinion on beneficial use of weed. Bado mswada unakarabatiwa.
Nani kajitolee hapa kama expert witness?
Kuna jamaa fulani. Marijuana activist πŸ™‚ Alifika mbele ya kamati hiyo na kuwasilisha hoja yake, ya kuhalalishwa kwa mmea kwa karibia lisaa lizima! Alafu alikuwa sio jamaa hivi hivi, mtu na akili zake. Tena mtu na miraba yake miine. Alifika mbele ya kamati na faili karibia wheelbarrow nzima. [emoji23] Wabunge walisikiza hoja yake bila ya kumtizama sana machoni. [emoji23] Nikipata hiyo video ntaipost hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…