Happy 420 Kenyans

Haha.. kuna boy mmoja kutoka Eldo ali choma kwa mara ya kwanza tukiwa form 1 akachizika aka leta noma kwa dorm mpaka wado akamshtukia akawa expelled!! Usikute ni wewe collo [emoji3]
Kuna kijana flani toka Bongo alikuwa anatuchangamsha na za Bongo na pia Malawi Gold back in High School wakati wa Entertainment....was very very gooooood.
 
Many people associate weed with only being high but alot of research has been done on its benefits to people with chronic illness. Most of its pros are based on it lacking the side effects that are common with strong pharmaceuticals. Which are mostly also too expensive.
 
Kuna kijana flani toka Bongo alikuwa anatuchangamsha na za Bongo na pia Malawi Gold back in High School wakati wa Entertainment....was very very gooooood.
Hehee.. msee umepiga mpaka za Malawi!! Kuna mjaluo mmoja yeye akisha pata vitu vyake lazima aende kwa toi aka kate gogo uku ana imba ngoma za TOK (Yeye alikua anaita Taste of Kenya) [emoji16]
 
Sikuwahi kwenda ila ma boys wa mtaa walikua wana nipa mastory!! kuna siku tuliplan kuhepa uko ikatokea risto ingine. Before sija kutana na manyang'au nilikua najua hip pop na rnb tu

Usiniambie shuleni hukuweza kupita Gate B uende 'dundaa'. Yaani wewe mfuata sheria ulipitwa na mengi sana. πŸ˜€
 
Hehee.. msee umepiga mpaka za Malawi!! Kuna mjaluo mmoja yeye akisha pata vitu vyake lazima aende kwa toi aka kate gogo uku ana imba ngoma za TOK (Yeye alikua anaita Taste of Kenya) [emoji16]
Hahahaha... ile kitu ukikula mpaka utafute kwa kutolea nyege.
 
miaka yangu yote hapa JF sikumbuki kubambika kaa ivi nikisoma ma comments za watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…