mimi nimependa jinsi alivyo health na fit,watanzania wengi wakifika umri huo wanakuwa wamechoka na wanakimbilia vijijini,tujifunze hapo
Utadhani ana miaka 40. Safi sana
Kwani ana miaka mingapi
Happy Birthday Denzel.....
Mississippi Masala & American gangsta...
Sichoki kuziangalia ..
Bila kusahau 2 guns
Birthday yake ya miaka 60 sasa
Equalizer 2014,i like the way he talks aseee
The Bossmweee sikusoma hapo juu...... he looks yound kwakweli