Happy B'day Boniface Salim

unajua mwenyewe yaan kaka una vituko wewee..

na sitaki tena mishikaki yako nshongea na my shemeji@wambeke this weekend tukale zetu!
ha ha ha ha ha ha kwendaa umekumbuka mishkak

ha ha ha ha ha mim ntakua nakunywa mvinyo muda huu.
atawadunda woteee!!
ha ha ha ha mwenye hela hajitaj wapambe sasa ndio utawajua wanavyokutangaza

Mimi si John cena sasa kukitokea ugomvi halafu nikikimbia, mashabiki watanichukuliaje[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule undertaker sasaa!!!jipange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…