Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Huyu jamaa wakati anacheza soka malaika mbunguni wanashangilia.Ronaldinho Gaucho alikuwa mchezaji wa kwanza wa BARCA kupigiwa makofi pale SANTIAGO BERNABEU, Huyu kwangu ndo mchezaji wangu wa muda wote wengine wakae tu.
Tatizo Morocco,ndio shida inaanzia hapo,
Kwakweli Morocco imeharibu kabisa kipaji cha kulazimisha cha huyu dogo....Tatizo Morocco,ndio shida inaanzia hapo,
Babu nimekumisss......Kwakweli Morocco imeharibu kabisa kipaji cha kulazimisha cha huyu dogo....
Nilikuwa nimeplan kutokuongea tena na wewe. Lakini nimekusamehe.Babu nimekumisss......
Imebakia historia...Ronaldo is still the beast on the pitch...
Hahahaaaa babu kwanini jamani.....? ....kosa lako haunipi tena lift sijui unampa nani siku hizi.......Nilikuwa nimeplan kutokuongea tena na wewe. Lakini nimekusamehe.
Mzima mpenzi? Haya nambie kosa langu nitubu
Unajua navokupenda lakini unanitenga. Sawa tu lakini... siku utakapokuja kwetu Moshi ntakulipizia.Hahahaaaa babu kwanini jamani.....? ....kosa lako haunipi tena lift sijui unampa nani siku hizi.......
Morocco imeua kipaji cha kulazimisha cha kijana wa soka...Heeeee Heeeee Morocco kama mombasa
Babu haikuwa riziki ile ishu........ila bado tuna matumainiUnajua navokupenda lakini unanitenga. Sawa tu lakini... siku utakapokuja kwetu Moshi ntakulipizia.
Afu hujanipa maendeleo ya ile ishu yetu ujue....
Matumaini kulekule au kwingine tena... kama vipi nifanye maamuzi magumuBabu haikuwa riziki ile ishu........ila bado tuna matumaini
Kwingine babu..........Matumaini kulekule au kwingine tena... kama vipi nifanye maamuzi magumu