Happy birthday afande Mentor

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Wana bodi,

Naomba tujumuike hapa River side ubungo, kumpongeza afande Mentor ze polisi katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Mentor a great man in JF, happy birthday brother.

Picha zitawajia hivi punde[emoji3] [emoji3] [emoji146] [emoji148] [emoji149] [emoji119] [emoji122]
 
Mentor ni wakati wako mwingine wa kumshukuru Mungu kukamilisha mwaka wako uliouanza 28 January 2016.

Nakutakia kila la heri unapouanza mwaka mpya wako wa 2017, Mungu akutangulie akufanikishe kwa kila hali.

Kwa ruksa yako naomba niweke picha yako ha ha ha [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…