Hongera zake na atoke kiafrika na kimataifa,kwenye birthday za wasanii husika wa Afrika kwa mwezi husika pale channel O, jinalake bado halijaingia.
Si lazima, iyanya,davido wamekalishwaaaaaaa Dai kapata tuzo ya pili mpoooooooo
Lakini si haki kabisa, yani kumshangilia kote kule anaishia kupiga show Masasi na Songea lakini Dai tumemzomea ye kila siku anachukua matuzo tu nje ya nchi
Hhhhhaaaaaa yaaan mumzomeee tenaaa tu etiiii
Itabidi tu hahahaha... Dimondi bana kila sehemu yupo, Big Brother yupo yeye, Channel O yeye, MTV yeye, Hapa nyumbani nyimbo zake zinarudiwa mara mbili mbili bar, ni shida tupu
Heheeeee leo umlinganishe na mtu hata video kashindwa anasubiri msaadaaa