Happy Birthday Ally Kiba

Wana hasira haooo wewee heeee

mweee! mwee! wanahasika kama kuku anayetamia, lakini huyu king naye kwanini anawafanyia hivi lakini??? sitamani hata kuvaa viatu vyao jamani, vinawabana basi tu wanavumilia.
 
mweee! mwee! wanahasika kama kuku anayetamia, lakini huyu king naye kwanini anawafanyia hivi lakini??? sitamani hata kuvaa viatu vyao jamani, vinawabana basi tu wanavumilia.

Na wamevumilia wanaona aibu kuvivuaaa heheeeeee
 
ila huyu mtu anagundu sio bure, mbona tshet nazo zimebuma??? au ndio tatizo nyota???

Wana hasira haooo wewee heeee

mweee! mwee! wanahasika kama kuku anayetamia, lakini huyu king naye kwanini anawafanyia hivi lakini??? sitamani hata kuvaa viatu vyao jamani, vinawabana basi tu wanavumilia.

Na wamevumilia wanaona aibu kuvivuaaa heheeeeee

Wenyewe leo wamelala saa moja sijui... Ngoja waamke mtambapambana nao wenyewe
 
Live long kiba ili ufute kiti chako hii vumbi hatari sana yahitaji miaka kuifuta happybirthday Ali k
 
Wenyewe leo wamelala saa moja sijui... Ngoja waamke mtambapambana nao wenyewe
Thubutu... mbele ya hii--- aaahh, na leo tena nyama, tunaumizana pua jamani!!!!

Leo watalala sana... na hata aliyesusa kwenda kanisani mwaka mzima, leo lazima aende na kufanya sala hii:
"E Baba Uliye Mbinguni, Jina Lako Litukuzwe Baba, Tunamuweka Kijana Wako Mikononi Mwako Baba... Kwa Maana Imeandikwa, Aombae Hupewa... Imetudhihirikia Baba, Sisi Si Lolote na Hatuwezi Fanya Chochote Cha Kumuwezesha Kijana Wako Zaidi ya Kupiga Makelele..."

Kwa Hakika Baada ya Sala hii, sauti nene kutoka mbinguni itasikika ikisema:

"Enyi Majirani wa Bwana Mcharo, Mnaokerwa Kwa Sababu ya Mwenzenu Kula Nyama Kila Siku, Enendeni Kwanza Mkanye Hayo Maboga Yanayowajaza Husuda Kwenye Mioyo Yenu, Kisha Rudini Tena Hapa, Kwa Maana Imeandikwa, Dhambi ya Husuda Mshahara Wake Ni Boga Kugonga Pichu!"

Sema Ameeeen!
 
Happy birthday Ally Saleh Kiba,my favourite Tanzanian musician of all time,I love you so much!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…