Umasikini ni kitu kibaya sana ndugu zangu! vita ya mabaradhuli hawa unakuwa ngumu coz nchi wafadhili ndio zinafadhili hawa viumbe wasikanywe, marhumu bingu wa muthalika wakat wake kuna mashoga walikuwa wapo katikati ya harusi yao wakakamatwa na kutiwa ndani kesha kuhukumiwa sikumbuki miaka mingapi, bingu mola kamchukua kaja mwana mama huyu kaambiwa usiporuhusu watu wapigane mijengo msasda hakuna kaona isiwe tabu kaamuru waachiwe, musaba (museven )alitoa msimamo watu wakampongeza na hata wakachupa mipaka ya kusifia kilichotokea uganda tumekisikia.
Yaani wapewe uhuru wa mambo hayo naamini itarudi enzi za lutwi (sodoma )jamaa walikuwa unaenda sokoni au shambani ukikutana na mduara unaweka kapu lako chini unaunga ikifikia huko sijui nani wa kulaumiwa zaidi ya mimi wewe na yule, umasikini huu hatupewi misaada mpaka watu wapakuane?