Hahahah...halafu mbona besidei gelu mwenyewe hatumuoni!!!
nimemficha mahali
yupo! ila kidogo ana majukumu ya kifamile, yupo jijini yalikozaliwa mapenzi. kwa hiyo muda wa humu unakuwa mchache kama sio hakuna kabisa!
shukrani kwako kwa Nivea RuttashobolwaView attachment 107249View attachment 107250happy bithday amu....uko wapi,View attachment 107251tunakumiss....
Paloma ahsante sana
jamani jamani mtanisamehe muda mdogo sana siwezi kuwacopy mmoja mmoja kuwashukuru ila nawashukuru wote dadii Kaizer dada Kijino Arushaone Filipo Bishanga Heaven on earth MMAHE kiwatengu Mtoto halali na hela charminglady watu8 Erickb52 arabella KOKUTONA Chocs ladyfurahia hao na wengine woooooooooooooooote