Shindwa na rudi nyuma shetani
Ebu niambie mm niko na nn shunieWewe hapana aiseee
Hahaha hahahaNisimjue mm na mikwara yake alikuwa anakuja mpaka makapuku
AmenNiko poa kabisa shunie wangu
Hakika nitakupasia mama,tuone kikojoleo cha babuUkipewa vale usisahau kunipasia na mm
Unambania mdogo wangu. Kwanini lakini? Tutakuacha Marangu next time usipotuomba radhi wallah...Namjua aki, mdogo wake babu, ila ni mkorofi sana jamanii sijui kama mtawezana
Hahaha hahahaShemeji yako huyo. Pale mbele kidogo ya Mamsera... pale ulipogoma kitimoto... ndio kwake.
Kaizer kaa mbali na mchepuko wangu wa milele.... blaza blaza blaza...
Mashallah hujambo mtoto wa kike mwenye nguvu zake Sakayo?Shkamoo unataka ninyima nini eti
Sijui kaenda wapi jamani ghafla tu kapotea akirudi atarudi na mikwara kama namuonaHahaha hahaha
Kaenda wapi eti
Hahaha hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeyakuta kwa nn yakuumize woiiiii
Tuone yaliyomo yamoo kwa babu
Ni salam tu...salaaam. naam na baada ya salam.Shemeji yako huyo. Pale mbele kidogo ya Mamsera... pale ulipogoma kitimoto... ndio kwake.
Kaizer kaa mbali na mchepuko wangu wa milele.... blaza blaza blaza...
Ewaaa...Hahaha hahaha
Kwani pale kwa kitimoto ni mamsera babu.... Mwambie asinisalimie mie mdogo
Kheeeeee mlemavu tena ni mlemavu wa nn huyo babuUnambania mdogo wangu. Kwanini lakini? Tutakuacha Marangu next time usipotuomba radhi wallah...
Afu mlemavu anakusalimia sana
Asitufanyie hivyo bwana
Hahaha hahaha hahahaSijui kaenda wapi jamani ghafla tu kapotea akirudi atarudi na mikwara kama namuona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha hahaha hahaha
Sawa Sakayo