Happy birthday atoto!

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,324
Reaction score
17,846
Wakuu wote wa Chit chat na MMU naomba muungane nami kunuwish shemeji yangu kipenzi atoto kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa.
atoto Mimi na dada yako DEMBA tunakutakia matashi mema katika siku hii, ukue katika maadili mema.

Tunakupenda sana.

Karibuni wote kwa mazawadi na makeki.
charminglady everlenk Ennie Baba V ladyfurahia lara 1 Asprin BADILI TABIA Mtambuzi sister miss neddy atug masai dada Mr Rocky Ntuzu Tized mwallu snowhite Madame B Kongosho Mtoto halali na hela utafiti Tyta MO11 Honey Faith Nazjaz

Na wengineo wote karibuni sana.
 
happy bday sweethat....Mungu akupe kila hitaji la moyo wako as you celebrate another year ........

God bless you,familia yako na akuinue katikati ya wanyonge

enjoy hard baby...
 

hasante sana shem darling Kaizer, am speechless for sure, thanks again
 
Last edited by a moderator:
Happy birth day atoto
Mungu akubariki maisha marefu na yenye mafanikio

Ucsahau kuvaa pampers leo
 
Last edited by a moderator:
happy bday sweethat....Mungu akupe kila hitaji la moyo wako as you celebrate another year ........

God bless you,familia yako na akuinue katikati ya wanyonge

enjoy hard baby...

thanks alot darling, be blessed too
 
heri ya mwaka mpya atoto ila ukue basi uwe akubwa

Mkuu mi naona kama abaki hivi hivi mdogo yaani katoto toto ivi kananoga kweli😀
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi naona kama abaki hivi hivi mdogo yaani katoto toto ivi kananoga kweli😀

mmmh!! shem darling Kaizer hunitakii mema, huwezi jua labda mkuu MO11 anataka kuleta baraka kwenye familia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…