Happy birthday atoto!

MPAKA UITWE NDO WAJISOGEZA KWANI HUKUONA Mbee!
Many Kongratuleshensi dear atoto. Maombi yetu yanaambatana nawe kukutakia afya njema, Familia bora, Maisha yenye kila aina ya heri na Baraka. God Bless.
Kaizer keki umemsahau jirani yako Mbe?
 
Many Kongratuleshensi dear atoto. Maombi yetu yanaambatana nawe kukutakia afya njema, Familia bora, Maisha yenye kila aina ya heri na Baraka. God Bless.
Kaizer keki umemsahau jirani yako Mbe?

Mbona nilikuita mbe?
 
Last edited by a moderator:
Aika sana Mbe. Nashukuru nimekuta nilihifadhiwa kifurushi. Zawadi nimemuachia huyo huyo.

Salaam toka mkoani: Wale viumbe wa kufugwa mliowatia kwenye masufuria wakati wa ile sikukuu bado wanawalilia huko waliko.

Mbona nilikuita mbe?
 
jamani babaangu nimekumiss pia, safari zako zinatufanya tusionane dady....heri ya mwaka mpya....



Thx sn mamy............heri ya mwaka mpya na wewe maangu...!
Mwaka huu nipo na mama yenu sn sisafiri tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…