Atotoooo happy birth day jaman mungu akupe maisha marefu uzidi kuyaona maishaaa na miaka mia miaaaaa
everlenk hivi.hawa wa champagne bado hawajafika tukate keki?Happy birthday atoto Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele.
Yaani wanachelewa watatuharibia shughuli.....