Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Mimi au wewe Kiduku. Umepotea sana, kuna siku nilitaka kukuulizia huyu kijana kapotelea wapi tena? Umeonekana kwenye Eid Karibu tenaUmepotea kama sh 5
We acha tu huku ndio saa hii tuanaanda eti ndugu mjumbeAcha utani ujuee saa Saba unusu hii harufu kama zote hukuuu afu bila bilaa!
Nipo bana kheri ya siku ya kuzaliwaMimi au wewe Kiduku. Umepotea sana, kuna siku nilitaka kukuulizia huyu kijana kapotelea wapi tena? Umeonekana kwenye Eid Karibu tena
Asante sana inafatana na fine mjumbe wa Tonniah π€π€π€π€Nipo bana kheri ya siku ya kuzaliwa
We acha si unajua mambo ya shamba ndugu mjumbeSiamini huko muda huu ndio maharage yameiva ndugu mjumbe kweli Eid imekuja vibaya uwii!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Nacheka kama ngedere hapa πππππNaijua mbona dear. Ana balaa dogo basi. Huwa lazima nimkamate π π π π
Eid wapi Bantu LadyAsante sana inafatana na fine mjumbe wa Tonniah [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Wapi rafiki nipo tu. Wenye Eid yenu mmeshajikataa town. Mialiko inakuja na lugha ya kiarabu, hujui umekaribishwa au unadolishiwa tu mmmh!!!Eid wapi Bantu Lady
Eeeh, mbantu ananichekesha anavyonibamba, huko uchafuni π€π€,Kama ngedereπ€ π€ π€
Asante nawe pia mrembo. Enjoy ngoja tuone jioni tunaweza karibishwa ya wakubwa ππππMuwe na mchana mwema wapendwaaa enjoy your sikukuuuπππππ!!
Mi sichoki kukusubiria hapa mizani maeneo ya nala!!Asanteeee Chino fanya utupe location mapeeeeeemaaaa!!!
Natamani nieke screenshot hapa ila mods najua watapita na hii tena π’π’
So sad ila nimemaliza UE nipo free saivi ππ,