Happy Birthday Bill gates

Happy birthday BILL GATES! I wish you long life.....
 
Kila mtu ana perception yake ya mafanikio, wengine ni kiuchumi zaidi, wengine kivingine. All in all, lazima ujue vipaumbele vyako kimaisha na ufanye kwa bidii kupata mafanikio unayoyatamani.

Copy and paste wisely.
 
Habarini wapendwa

Leo ni siku ya furaha tunapokumbuka ile siku kuzaliwa
ya Mwanzilishi wa Microsoft ambaye mtu muhimu sana katika ulimwengu huu wa mitandao
bila yeye tungeyajua haya yote.

La hasha hivyo ungana nami kumtakia heri na afya njema
ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake





Happy birthday Bestito
BILL GATE

 
Kwa niaba ya Bill gates nawashukuru sana wanajamiiforum wenzangu salamu zitafika kwa kaka yangu Bill gates ni hapa mdogo wake wa damu kabisa MO11 gates
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday my dear friend Bill Gates........we will be friends forever no matter what..........
 
Happy Birthday my dear friend Bill Gates........we will be friends forever no matter what..........

Preta kumbe bill gates upo nae karibu hivyo naomba umwambie anipe hata kazi ya kufuta viatu vyake lol.
 
Happy Birthday my dear friend Bill Gates........we will be friends forever no matter what..........

Ha ha ha Preta.. u mean no matter if he shares his wealth with u or not..
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa namdai na simu zote kazima,nimeshajiuliza sijui nitampateje

unamaanisha unamdai Bill??!! duuh.....
ila sishangai maana hata hoteli ya blue peal ilitaka kufungwa kwasababu ya madeni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…