Furaha kwangu maana bajeti yangu imepona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahah hebu jaman na wewe kwann haunaga siri khaaaa nitakuchapaaa fimbo zisizohesabika ujueee.
Jilete tu leo sifanyi utani..Loooh nitarud tu kivyovyoteeee
Mate yamenitoka hadi yamekauka, mbuzi kwa muuza supu habaki salamaHahahahah ngj nijipange kisaikolojia
Hongera kwa ucheshi wakoAbeeeh