Happy Birthday CarryMastory

Hahaaaa kumbe ndo mana post ya bra kama miwani alitokwa povu now i got it!hbd kwake

rap beast
 
Duh!!!hawa vijana wetu kwa kucheza na muda mimi ulivyo andika team nikajua kijana kasha fungua kiwanda na hao wanamfanyia kazi kumbe ni ujinga.

-Ndumilakuwili-
Kiukweli huu muda wataujutia hamna wanachopata zaidi ya kuwa na followers 500k, inatakiwa ifike wakati waanze kuwatumia hao followers kutangaza biashara angalau wapate japo kitu waachane na hii ya kukaa na kuwaponda wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…