Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mademu wembamba wanakuaga wambea kweli
kwa nn mkuu?
snowhite njoo huku mwalimu wangu...Happy Birthday Carry View attachment 557516
Ila uache kututusi WCB sawa katoto kazuri[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ha ha ha ha,kweli kabisa.Celebrity wa inchi ya instagram
Kuutwa ni kuchambana uko inst na kupnda hasa wcb.yaaan mda wote ndo shughuli yakekwa nn mkuu?
Sasa si ili apate kiki na followers.Kuutwa ni kuchambana uko inst na kupnda hasa wcb.yaaan mda wote ndo shughuli yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo kumbe ni binti?Ha ha ha ha,kweli kabisa.
Huwa kanachafua sana hali ya hewa haka ka binti .
Izo ni dalili za stress na kukosa kazi ya kufanya.siku wakimuanulia watamtia ndani maana anavunja sana sheria ya mtandao.me ananichefuaga nikamuanfollow.Sasa si ili apate kiki na followers.
Bila kuwapondea WCB unadhani ungemjua huyu binti?
Ndiyo.Uyo kumbe ni binti?
Sasa si anapata pesa akifanya hivyo.Izo ni dalili za stress na kukosa kazi ya kufanya.siku wakimuanulia watamtia ndani maana anavunja sana sheria ya mtandao.me ananichefuaga nikamuanfollow.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ipo siku atamfuata yule shilole kiuno cjui.kama ndio kazi alochagua nawapa pole wazazi wake walimlea na kumsomesha..mwanamke mwenye gubu ivyo mwisho wake ni kua mchawiSasa si anapata pesa akifanya hivyo.
Hapo yupo kazini mwenzako.
Halafu ukikaa ngalia masikini hakafananii kabisa na anayoyafanya.Ndio ipo siku atamfuata yule shilole kiuno cjui.kama ndio kazi alochagua nawapa pole wazazi wake walimlea na kumsomesha..mwanamke mwenye gubu ivyo mwisho wake ni kua mchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa shemale huyu [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkipewa jibu na mimi mnitag.
-Ndumilakuwili-
Ohoooo!!!Atakuwa shemale huyu [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ndio maana nakwambia stress zinakasumbua..hakaendani na kanachofanya kabisa...mtu ambae hana ustaharabu kwa wenzake na anaelopoka shit mbele ya public hana adabu wala heshima.ndio maana niliwapa pole wazazi wakeHalafu ukikaa ngalia masikini hakafananii kabisa na anayoyafanya.
MI NAKWAMBIA TUACHE KUZAA!
Ndo huyo mkuu.
Ha ha hahuyu dada alikuwa anamtukana zari kipindi anamimba ya tiffa utasema sio mwanamke ,,,,,ndo haeleweki hana mwili kwa ajili ya roho mbaya na msuti wake kama umetundikwa
HAPPY BORN DAY umaarufu uchwara wa instragram