Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Hahaha kwamba ana undugu na Dada Jane? Aka GENTAMYCINE ? Una utani mbaya we!Anafanana na popoma
We una tofauti gani na huyo uliyemuita MPUUZI..?Huyu mpuuzi anajitia mjuaji na roho mbaya tu bila sababu kumbe kamekonda mishpa ya shingo imemsimama chefuuuuuuu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniona wapi au unajitia maujuzi tu msiiiiiieeeewWe una tofauti gani na huyo uliyemuita MPUUZI..?
Hivi kwa huu UPUUZI wako ulitegemea mpaka nikuone..?Umeniona wapi au unajitia maujuzi tu msiiiiiieeeew
Kwendraaaaa huwa sishindani na watu mie huo muda sina kwa heriHivi kwa huu UPUUZI wako ulitegemea mpaka nikuone..?
Wewe Kulwa na huyo uliyemuita MPUUZI ni DOTTO
Hizo ndio tabia za "WAPUUZI" kuiaminisha akili kuwa mda wote wanahitaji kushindana tu.Kwendraaaaa huwa sishindani na watu mie huo muda sina kwa heri
Duuuh,,,,,sawa
Endelea kunifananisha na vitu vya hovyo ili upigwe BANSawa na,..??
Endelea kunifananisha na vitu vya hovyo ili upigwe BAN
Nenda insta utamjuaNdio nani huyo na anaustaa gani bongo?
-Ndumilakuwili-
Wa kiume huyo hana harufu ya kikekikehuyu ni me or ke?
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Ndo naniHappy Birthday Carry View attachment 557516
Ila uache kututusi WCB sawa katoto kazuri[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nipe namba zakeBwahahahahahaha ajajaja nimeacha naogopa BAN Mimi!!! Bwahahahaha
Nipe namba zake