Happy birthday Chachu Ombara

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi:
" kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata kuna wakati wa kila jambo chini ya Mbingu"
"Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kung'oa kilichopandwa,
"Kuna wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga"
"kuna wakati wa kuomboleza na wakati wa kurukaruka"
"kuna wakati wa kulia au wakati wa kucheka"
"kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa'

Na leo hii tunakumbuka wakati mwema na wenye furaha kwetu kwani ni wakati wa kuzaliwa kwa
kitoto, kipenzi chetu Chachu Ombara , Je umeshawahi kujiuliza kwanini Mungu alikuleta duniani,? na je umemfanyia nini Mungu kwa kuwepo kwako hapa. Haya maswali tujiulize wote hapa. na kama hatujafanya basi hatunabudi kufanya au tenda kwa wakati huu uliopo.

Nami nimtakie heri furaha, na afya njema rafiki wa moyo wangu Chachu Ombara ungana nami kumpa heri kitoto chetu cha leo tarehe 12/05/2017, pokea cake hii ndogo ya jf hhaahaa

HAPPY BIRTHDAY MY SWEETY CHACHU OMBARA


Wasalaam
Ladyf

 
Hahaha haya bana,ila maramamae cjui unawapa nn ile bendi wanakurusha km pedeshee Fulani hv ,usikute SAA hz upo hapo
Hahahahahha
Si unajua tena sie ma-Alwatan wa Kinondoni.
Akha
Sahz niko PapuChulo
Si unajua ni Weekend ya mwisho mpaka Iddi wengine ndo wanafungua ma-bar?
 
Papu chilo nyuma ya mwanamboka hy,Niko mbali best ,km nakuona vile
Eheeee ndo hapo hapo.
Ndo napokeshaga mie weekend
Yaani hili swali nalo ni la kuuliza?? Kweli???
We mzee wewe.
Afu tangu umehamia B/Moyo, basi hata Bar mpya hukanyagi
Kwani we upo wapi? Madame B sasa hivi ni pedeshee pale kwenye ile band.

Kama unataka wimbo wowotevmwambie akawambie. Wanapiga hapo hapo.

Happy birthday Chachu. (kwa sauti ya madame b)
Hahahahahahh
Eti pedeshee we mzee wa 100 bhana vp.
Ila si unajua tangu ile band inaazishwa tuko nayo hata ile ya pale Mk.
Thou wananijua sana na mdau wao na mtunzaji pia
 
Siku hizi mimehamishia kambi Makuti Bar Bunju B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…