Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
MmmhUnakosea Kumtag Mzigua mtag vizuri
kwani sikuambiagi wewe ni handsome na sauti yako,halafu kikao cha dharura itisha bombeso
Hahahaaaa.... Jamani nyie mna vituko.. Kwani bado hajakurudishia? Kashapoteza. Hahaaaa...
Asanteni kwa kunichekesha. Mvua ishaanza ngoja niangalie ustaarabu hapa.
Nakupenda sana amu
Mmmh
Hahahaaaa.... Kupenda ni Upofu mwenzangu. Ukiwa na hela utaitwa majina yote. Mwenzako ndo kashadata. Uzuri wa mtu upo kwa mtu. Nlikua naangalia hapa picha ua huo uhandsome siioni. Mara aseme anapenda base. Kwa Ufupi amu kakukubali. Tugange yajao hatimaye amu amekuwa shemeji.Mie handsome? Mmmh makubwa haya ,JF now ina watu wake
Hii itakuwa kukimbizana. Mimi nakupenda wewe, wewe wampenda kipaji, kipaji anamtaka mzigua. Sasa bora niblock njia iendayo kwa Mzigua ili umdake. Halafu mimi nikomae na mzigua wewe ukomae na Kipaji wako. Kipaji mwenyewe haamini macho yako.Unanipenda mimi au mzigua?unataka niwe na wewe au kipaji?
hueleweki baba la baba
Asifurahi unavyompenda. Kazana basi jamani japo tukale nundu na Mzigua. Au twende pale gorofani kwenye bar ya Madame BUtapasua koo,mwenyewe umefurahi
Hii itakuwa kukimbizana. Mimi nakupenda wewe, wewe wampenda kipaji, kipaji anamtaka mzigua. Sasa bora niblock njia iendayo kwa Mzigua ili umdake. Halafu mimi nikomae na mzigua wewe ukomae na Kipaji wako. Kipaji mwenyewe haamini macho yako.
Sasa wewe ni mshenga rasmi kwa Mzigua huku ukiwa shemeji rasmi kwa Kipaji.
Limadame b litashangaa ubwabwa unaliwa. Si alibania kwako bila kujua akifunga mlango wako wewe unafungulia mlango wa mzigua.
Hii kazi tumuachie shemeji amu. Sisi tutaitwa tu njooni. Mimi na Mzigua nataka mambi ya jigijigi yawe baada ya ndoa.Mshawishi ila sijuiii
Ila kweli aisee. Mumetoka mbali na amekuvumilia mengi. Pamoja na purukushani zote, mtandio wako kakuhifadhia.. Mapenzi matamuNiache Na Kipaji Wangu,wenyewe Tumetoka Mbali Sana Miaka 6 Sasa
Hahahaaa... Karibu darasalama. Nenda pale kwenye band upoteze muda. Bajaj buku tu. Nimwambie aje?Ila kwanini hii mvua haitaki kukata?
Inatutaka nini sisi?
Niko PapiChulo mda tuHahahaaa... Karibu darasalama. Nenda pale kwenye band upoteze muda. Bajaj buku tu. Nimwambie aje?
Ila kweli aisee. Mumetoka mbali na amekuvumilia mengi. Pamoja na purukushani zote, mtandio wako kakuhifadhia.. Mapenzi matamu
Niko PapiChulo mda tu
Nakunywa hapa kibaa cha karibu na nyumbani.Njoo hapa kona kwa shaban juice ya miwa
Kazi yangu umefanya?Njoo hapa kona kwa shaban juice ya miwa
Kazi yangu umefanya?
haya nimekuja best maana umeniita sanaKwani we upo wapi? Madame B sasa hivi ni pedeshee pale kwenye ile band.
Kama unataka wimbo wowotevmwambie akawambie. Wanapiga hapo hapo.
Happy birthday Chachu. (kwa sauti ya madame b)
nimeshaifanya nenda kaione kuleKazi yangu umefanya?