Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwako rafiki yangu, mdogo wangu chaliifrancisco, ni siku nyingine tena Mwenye enzi Mungu amekujaalia kuongeza mwaka mwingine... Naomba nitumie nafasi hii kukutakia heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa. Mungu akutunze uendelee kukua katika kimo na maarifa ukimpendeza Mungu na wanadamu.
Happy birthday to you kijana mwenye umri mdogo ila una hekima kama zotee hadi mimi kigagula wakati mwingine najishtukia haha.
Karibu ndugu, jamaa na marafiki tuungane kumtakia huyu kijana maisha marefu yenye Baraka.
I hope ugomvi wako na kaka yangu MO11 umeisha na nitamuona hapa anakuja kusherehekea pamoja nasi