Happy Birthday Chaliifrancisco

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,415
Reaction score
119,473
Kwako rafiki yangu, mdogo wangu chaliifrancisco, ni siku nyingine tena Mwenye enzi Mungu amekujaalia kuongeza mwaka mwingine... Naomba nitumie nafasi hii kukutakia heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa. Mungu akutunze uendelee kukua katika kimo na maarifa ukimpendeza Mungu na wanadamu.
Happy birthday to you kijana mwenye umri mdogo ila una hekima kama zotee hadi mimi kigagula wakati mwingine najishtukia haha.
Karibu ndugu, jamaa na marafiki tuungane kumtakia huyu kijana maisha marefu yenye Baraka.

I hope ugomvi wako na kaka yangu MO11 umeisha na nitamuona hapa anakuja kusherehekea pamoja nasi
 
Happy birthday
chaliifrancisco
Nakutakia maisha marefu na yenye baraka mkuu
Tupe location tuje kukumwagia maji.
 
Hahaha leo ujanja hana atafanya yale tunayotaka sisi
 
Heppi besdei chalii yangu Francy

Mungu aendelee kukutunza na kubariki kazi ya mikono yako

Ufanikiwe zaidi ya jana

Unenepe na kunawiri kama wale watoto unaowatunza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nimemaind yani hadi jana hujaniambia kama leo besdei yako mpaka Khantwe kaniwai kufungua sredi!?

Nimenuna [emoji57]
 
Hahaha pole weee wewe mbona kila sehemu huwa unakuta nimekuwahi kasoro kule jikoni tu ndio umenipiga gepu[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…