Happy Birthday Chaliifrancisco

Dah....Dogo chaliifransco
...mwaka mwingine umepita na hauta kaa uupate tena... na Hili si jambo la kufarahia sana hasa Kama Kuna maeneo ulibugi....
Ushauri wangu kwako ni kutorudia makosa uliyoyafanya huko nyuma...na kuyaboresha zaidi Yale mafanikio uliyoyapa ili yaendelee kusimama kwa uimara zaidi....
Siyo Siri ..pale tunapoongeza mwaka mwingine kwenye maisha yetu maana yake tumepunguza mwaka mwingine wa kuishi duniani....ukweli mchungu.....
Jipange Dogo....

Happy Birthday [emoji41]
 
Shukrani sana mkuu Roho Mbaya kwa maneno yako machungu matamu.


Barikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…