Du umenikumbusha zile sinema za gari la omo linakuja mji mzima unatangaziwa kuna sinema mjini ukuta ndio ilikuwa screen watu tunajazana kibao lakini hapo hukosi wakorofi mara upigwe konzi na aliyekupiga humuoni au mnarushiwa mayai vinza ili kuharibu hali ya hewa na mwisho mnamwagiwa upupu ikiwa ndio kidali poo uka lale nao,na kama mvua ikija ghafla picha ndio inaishia hapo .watu walikuwa wananjaa kama vile dr slaa anahutubia