miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
tutakutana kwenye mbege kirimass nakusubiriaMfuko ulitetereka miss chagga kala kona
Ila hajajua na wala usimwambie aise mgodi unakaribia kutema na hapa ataisoma namba hata akija
tutakutana kwenye mbege kirimass nakusubiria
Hahahahaaa wasap,JF bado FB tu!
wewe mletee peremende moja tu,ukileta nyingi hajui kula taratibu
sawa sawa ila nasikia magz kashakataa wachagga kwenda xmass anaenda mwakilishi mmoja tuu sasa sijui itakuwaje
mchanga lakini ni mlaku wa makulaji huyu
leo nitapita mitaa hiyo baada ya kazii..
Lete nimpelekee
Yaani ninavyokuhusudu kule basi tuu
utanialika xmass hii nije huko kwenu kupunga upepo ?
Karibu sana aise wala usiwe na shaka nitakualika sana