Happy birthday Clouds Media Group, ni miaka 21 ya legacy

Sahara Media tatizo la kwanza base yake haipo DSM, pia boss wake sijui njaa au umwinyi... nafikiri siasa pia zilimpeleka puta.
Hilo nalo n tatizo. Halafu nahisi n mkabila sana
 
Hongera zao clouds kwa mapinduzi makubwa waliyofanya hususani kwenye tasnia ya burudani tangu kuanza kwao.

Ila wajitahidi wafike maeneo yote nchini miaka 21 ingetosha kabisa kwa wao kufika kila mahali, wanazidiwa mpaka na redio free wako maeneo karibu yote ya nchi.
 
Mbona wanafika. Nafkir tatiZo lipo kwenye mitambo yao Mara nyingi huzidiwa
 
Happy birthday Clouds FM. Hiki ndio kituo bora cha redio kwasasa kikifuatiwa na East Africa Radio.
 
Steve kabuye kafire yupo etv ni producer wa vipindi hasa Cha jonino, jamaa nilikuwa namkubali Sana kwenye the cruise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…