Happy Birthday CONTROLA

Happy birthday to you..[emoji445][emoji444][emoji344][emoji344]

Haya unitumie cake yangu
 
We jamaa Happy Birthday. Leo usilete zile za Usiku Mwema.

ha ha ha kwakweli mkuu jana sikuweza kuleta,hata wewe ni shahidi

Sio kwa pilika pilika zile si unajua tena mwaka mzima siku kuu ya mtu bahili kama mimi ni 1 tu

Thank you Mad Max ila leo "usiku mwema" lazima nisharudi kazini. Likizo ishaisha 🤣
 
Eyce,
ha ha ha hapana Mkuu haiwezi tokea hivyo,

Asante kwa wish ubarikiwe sana champion Eyce
 
Happy birthday [emoji324][emoji320][emoji323][emoji512][emoji322] uishi miaka mingi bro
Napenda nyuzi zako za biashara zinanihamasisha kinomaa
Huu ni mwaka mpya kwangu jiandae kubarikiwa zaidi

unajua si mimi ila anaekufanya ujiskie vile ni "wewe" Yes its YOU cause

umeamua kubadilika na kama umeamua Trust me,next year utakua another Dinazarde

A champion of your own, a king of your own empire Be ready kwa hayo mabadiliko.

Thank you so much Dinazarde
 
Happy birthday to you. More years of greatness.

Naomba address ya kutuma keki.
Jamaniiiiiiii... vile najiskia baada ya kukosa ile keki toka kwa mimiks siwezi elezea

ila Asante sana mimiks japo mambo ya address haya,unaweza toa address ukashangaa

wamekuja ma pai/wajomba (polisi) wanakuuliza wewe ndio bwana CONTROLA unawajibu ndio

Haya twende bwana kuna post zako uliongelea upatkanaji wa hela bandia tunaomba msaada wako.

Aseee mi ntawambia wanipe keki yangu kwanza nile then ndio nikawape msaada zaidi🤣

mimiks ubarikiwe mama maneno yangu hayatoshi kumaliza shukurani zangu ila fahamu tu kwamba

umebariki moyo wangu.
 
Happy birthday mpendwa
Hawachi niseme ni eti? ninachoweza kusema ni Asante sana

Mungu akubariki kwa hata hicho kidogo ulichoamua kunipatia

"muda wako" hata wa kuni takia heri katika siku yangu ni zawadi tosha

Asante sana.
 
Hawachi niseme ni eti? ninachoweza kusema ni Asante sana

Mungu akubariki kwa hata hicho kidogo ulichoamua kunipatia

"muda wako" hata wa kuni takia heri katika siku yangu ni zawadi tosha

Asante sana.
Jana nilitaka kuandika gazeti sema ni mvivu kuandika Mungu azidi kukubariki CANTROLA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…