HahahhahaHeri ya siku ya kuzaliwa mama karumanzila.
[emoji3] [emoji3]Nakuonaa nakuonaaa
HaswaaaaaKumekucha
Unastahili Chamdeko, unastahili mamaWaoooh mpaka nimetokwa na machozii siyo kwa ujumbe huu mwanana
Nakataaaaa na sikaziiiiiSalama jamani maana nilizid kuweka avatar nzuri nzuri wala hazifanan na mm hiyo ndo mm kabisaa yani
Aamin, tubarikiwe sote DemissJaman asanteeee[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]ubarikiwe sanaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe najua unanijua passport size tu huku chini ukiniona lazima ukimbie