Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JUKWAA LA SIASA NA "BIRTJDAY" YA MCHUNGAJI KIMARO WAPI na WAPI?Heri ya Kuzaliwa Mtumishi wa Mungu Dr Rev Kimaro. Mungu azidi kukupa miaka mingi ya Neema na baraka uzidi kutimiza kusudi lake hapa duniani.
HahahahahHuyo kimaro ni mtendaji wa kijiji gani...?
Una utani na "Ofisa Mtendaji" teacher?Nimuite akufokee?😁Huyo kimaro ni mtendaji wa kijiji gani...?
Kongole zake.Heri ya Kuzaliwa Mtumishi wa Mungu Dr Rev Kimaro. Mungu azidi kukupa miaka mingi ya Neema na baraka uzidi kutimiza kusudi lake hapa duniani.
Hakika tunajivuniaKongole zake.
Huyu ni mchungaji wa mafundisho ya maisha.
Miaka??Heri ya Kuzaliwa Mtumishi wa Mungu Dr Rev Kimaro. Mungu azidi kukupa miaka mingi ya Neema na baraka uzidi kutimiza kusudi lake hapa duniani.
Ukishajua itakufaa nn?Miaka??
Ninayo diary; wewe huna?Ukishajua itakufaa nn?
Huyu Mwamba elimu yake ikoje? Amesomea nini haswa?Heri ya Kuzaliwa Mtumishi wa Mungu Dr Rev Kimaro. Mungu azidi kukupa miaka mingi ya Neema na baraka uzidi kutimiza kusudi lake hapa duniani.
Wewe umesomea nn?Huyu Mwamba elimu yake ikoje? Amesomea nini haswa?