Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Ana undugu na sister wetu wemaKwa ripoti nilizonazo ni kuwa umri wa huyu mshkaji huwa unarudi nyuma
Geuza Saba Itangulie Halafu Mbili Ndiyo Inafuata Itasomeka....😄😅😃😂😁Okwi ana miaka 27 ...samatta nae katimiza 27...vituko haviwezi kuisha inchi hii
Hahahaa. Mna vituko watu wa jfMsimu ujao anarudi Simba akiwa na miaka 26!
Msimu ujao anarudi Simba akiwa na miaka 26!
Hivi huyu Okwi miaka yake inarudi nyuma au? Kila miaka ikisonga yeye ana miaka hiyo hiyo 27. Tatizo nn?Fundi kabisa @EmmanuelOkwi ametimiza miaka 27. Jiungeni nami tumpongeze Msakataka kabumbu huyu. View attachment 1303098