Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gombea wewe uwe Rais.Sherehe wapi?
Na hivi kwanini hagombei kuwa Rais?
H.E Freeman God blessed you, endelea kugimiza utume wako bab mashetani wanaishiwa nguvu sasa.
Muda wake wa kuishi Duniani aliobarikiwa na Mungu ameutumia vyema kabisa.Mwanasiasa bora kabisa wa upinzani kuwahi kutokea nchini Tanzania. Mwenye misimamo thabiti, aliyejawa hekima na busara.
Happy birthday Kamanda.
jina linajielezaFREE MaN
hivi kuna bilionea aliyechoka ?Jamaa kachoka Sana na hakuna matumaini ...!!! Happy birthday kamanda , 2020 is your Last stand
Kesi ya kodi iko mahakama ipi ?Mwambie aache kukwepa kodi, sio anakenua tu macho kama kenge.