Happy birthday Gambe and Mrs. Mengi

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
Happy birthday Gambe and mamaa Mengi ilaa mmepoozaa siku hizi khaa tunaishia kuonaa tu mkipiga picha hahaha mkiwa mmekaa nyumabani no kutoka nowdays.

All in all nawatakia kila la heri maishani mwenu.
 
Inaonekana kylln hajazoea sana lyf LA kitajiri coz kutwa kutupia picha za bata kwenye wall yake ya instagram [HASHTAG]#JustSayin[/HASHTAG]
 
Gambe ndio nani .......??
 
Inaonekana kylln hajazoea sana lyf LA kitajiri coz kutwa kutupia picha za bata kwenye wall yake ya instagram [HASHTAG]#JustSayin[/HASHTAG]

Maskini akipata ndo inavyokuwa mkuu
 
Bongo kongo kwa thambo mbeki
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Inaonekana kylln hajazoea sana lyf LA kitajiri coz kutwa kutupia picha za bata kwenye wall yake ya instagram [HASHTAG]#JustSayin[/HASHTAG]
yaaaan ila nao mashauzi anapunguza na zile life moto zake chezeaa magu ww panga linakata kote kote no evening tea walaa girls day out kila mtu kwa mumewe
 
Ila huoni mwenzio Yuko kwenye private jet anaenda kusheherekea birthday yake, kwenye ile familia kina ryan na jayden ndo wanaenjoy ila mengi na kylln aren't really happy coz mapenz yao yapo kimaslahi... jerry joshy
 
i second you yaan bidada ndo anajitutumuaagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…