Woiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda tuanze kudai cake kabla siku haijafika si kwa bonny ninaemjuaatakuwish sana na jikeki utalipata pia...!!!
umeanza lini uchonganishiii?Endeleen kujidanganya
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mfyuuu na nitajiwish mwenyewe
bado watu watakuwish tuu!!dunia haina siriHakuna ukweli wowote jamaan siku yangu ya kuzaliwa naijua mwenyewe tu
Nawaza tu hapa ujue alivyosema geni eti na cake utanunua [emoji3][emoji3]Ha ha ha kwahyi unataka kusemaje shunie
Nimeielewa sanaNishampa location hajaielwa
haaa....haya mfanye mkujeUtawaponza wenzio shaur yako
[emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2]Acha niendelee kujidanganya mkuu hamna namna maana kibiti bila FFU hakuendeki
mmnhhhh!!!!bonnyyyyItafanyikia sinza kama unelegea goba hii kona ya chalinze kabla hujafika njia panda ya himo kwenye ile njia yya vumbi ya kuelekea malinyi
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] lione liboniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] geni ukujeee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hebu tuache bonyyUmepajua enhee
Kwendraaaaa kisa cha kutupeleka huko vumbini niniii
Hivi itakuwa cake ya ngapi hiyo toka uanze kuninunulia [emoji3][emoji3] ningekuwa sikujui sawa kaka bonnyNtakununulia mpka Ile.unayopenda cake kitu gan kwan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmnhhhh!!!!bonnyyyy