umeona eehh!!!fine mubashara kabisaa...sio kwa kunibechua hukoo...Usijali my dada keki tu umepata.
Ila bonny alipe fine sio kwa kukuanzishia uzi huku jua limeshapaaa. khaa. [emoji124] [emoji124]
Kiuhalisia sio mtoto ila anakumbuka siku yake ya kwanza kuja duniani.Hv kumbe huyu bado mtoto mmmh
Hahaaa. Haya bana twataka location sasa tuje tukate keki sie.Ha ha ha ha nmekitafuta balaa aisee ras simba kafanya yake si unajua zile za as u knw me as u knw yourself
Hahaaa. Ila pia sio mbaya my dada.umeona eehh!!!fine mubashara kabisaa...sio kwa kunibechua hukoo...
bonny come this way...
Endelea kuhisi hivyo hivyo mpka itakapokuwa kweli.sawa baba eee eheeeBas na wewe utakuwa BFF wangu nahis
Ujue keki hazijaagi zikiwa nyingi ndio vizuri tunapata na za kubeba. [emoji85]Unataka kufungua duka la cake nn?
katoto kachanga mie jamani leoKiuhalisia sio mtoto ila anakumbuka siku yake ya kwanza kuja duniani.
Ungemwambia basi anisubiri kimwaka kimoja angalau tuwe age...e. Duh ila kaumri kanakimbia si kitoto
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sio cha nchi hii kiinglish mi mpaka nimetafuta Oxford old version...!!!Aisee bonny sio kwa kidhungu hiki cha wapi hiki. Cha kwa Ras Simba au [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Teh teh teh. Kupenda keki hakujawahi kumuacha mtu salama. [emoji2]Ha ha ha wazee wa foil paper utawajua tu kwa mbwembwe zao