Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy Birthday GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimefurahi mno kufikisha umri wangu huu leo hii na hakika nina furaha sana na kikubwa naomba tupendane na kwa pamoja tuliendeshe gurudumu hili la JF kwa manufaa zaidi ili tuweze kuijenga Tanzania yetu ili Watoto wetu na Wajukuu zetu waje kutukumbuka kwa mema na kuyafurahia matunda ya hii nchi nzuri na iliyobarikiwa mno na Mwenyezi Mungu.

Amen / Inshaallah.
 
Happy birthday mkuu.
Mungu akupe afya njema kila siku tuzidi kufaidi michango yako
 
Akhsante sana Mkuu na Mwenyezi Mungu ama hakika atayawezesha yote hayo uliyoyasema.
 
Nimefurahi mno kufikisha umri wangu huu leo hii na hakika nina furaha sana na kikubwa naomba tupendane na kwa pamoja tuliendeshe gurudumu hili la JF kwa manufaa zaidi ili tuweze kuijenga Tanzania yetu ili Watoto wetu na Wajukuu zetu waje kutukumbuka kwa mema na kuyafurahia matunda ya hii nchi nzuri na iliyobarikiwa mno na Mwenyezi Mungu.

Amen / Inshaallah.
Happy Birthday to you, God bless you and your family!!
 
Hapana simfahamu Kamanda. Je ni nani huyo tena?
Muulize ulimboka atakutajia cku ile wanamchomoa ple posta walikuwa watu wangapi? kuna mtaalam wa kuitwa Rama khatari hyo am sure unamfaham bc tu unanienjoy mkuu huwa nasoma nyuzi zko una ufaham na mambo ya usalama wa nchi hlo jina haliwezi kuwa ngeni maskioni mwako!
 
Acha hizo bhana!
 
Happy Birthday
Nimewasiliana na na Abdallah Mwaipaya pia kakuwish sana birthday njema
[emoji28]
Live long bro
Haaaaaaahaaaaaa Iceman usimchonje mwenzio Mwaipaya hawezi kumwish hyu anamuona co siri za studio kazitoa nje!
 
Back
Top Bottom